slide 1
slide 1
slide 1
slide 1
slide 1
slide 1
slide 1
slide 1
slide 1
slide 1
slide 1
Uvunaji wa Asali
Asali na Karoti Pori
Uvunaji wa Asali
Walnuts
Uvunaji wa Asali
Mbegu za Maboga
Uvunaji wa Asali
Sardines (Dagaa)
Uvunaji wa Asali
Maziwa
Uvunaji wa Asali
Mbegu za Chia
Uvunaji wa Asali
Sukumawiki (Kale)
Uvunaji wa Asali
Tikitimaji
Uvunaji wa Asali
Parachichi
Uvunaji wa Asali
Mdalasini
Uvunaji wa Asali
Tangawizi
previous arrowprevious arrow
next arrownext arrow
Shadow

Bofya Kitufe Kuwasiliana Nasi

Vyakula vya Kuongeza Nguvu za Kiume kwa Haraka

Vyakula vya kuongeza nguvu za kiume kwa haraka hujumuisha vyakula vyenye virutubisho vifuatavyo kwa wingi, madini ya Zinki (zinc), Vitamini D, Omega 3 fatty acids, Vitamini C, vitamini E,  Selenium, L-Arginine, Folate (Asidi ya Folic), Vitamin B-Complex, Citrulline n.k Vyakula hivi ni muhimu kwani huweza kuusaidia mfumo mzima wa nguvu za kiume kufanya kazi vizuri, ni kweli kuwa suala la upungufu wa nguvu za kiume husababishwa na masuala mengi ikiwapo msongo wa mawazo, kufanya punyeto (mastarbation), kuongezeka umri, kutokufanya mazoezi, magonjwa kama vile ugonjwa wa moyo, kisukari, ngiri, tezi dume, shinikizo la damu.

Mbali na yote hayo suala la ukosefu wa lishe bora huchangia upungufu wa nguvu za kiume. Matumizi ya booster si mazuri kwa wenye upungufu wa nguvu za kiume kwani hutoa suluhisho ya muda mfupi kisha hukuacha na tatizo lako vilevile, badala yake tunapaswa kutumia vyakula vyenye virutubisho muhimu kwa wanaume ambavyo huimarisha misuli ya uume na kupelekea mzunguko mzuri wa damu kwenye uume, punde tutakutajia vyakula vyenye virutubisho hivyo kwa wingi. Kabla ya hapo tuangalie umuhimu wa baadhi ya virutubisho vinavyopatikana kwenye vyakula vinavyoimarisha nguvu za kiume kwa haraka.

VIRUTUBISHO & VYAKULA

MADINI YA ZINKI

Zinki ina athari katika uzalishaji wa homoni muhimu za uzazi, kama vile testosterone. Testosterone ni muhimu kwa afya ya viungo vya uzazi, ukuaji wa misuli, na ina jukumu muhimu katika hamu ya kufanya mapenzi. Pia madini ya zinki husaidia katika kutoa mazingira bora kwa ukuaji na ukomavu wa manii. Vyakula vyenye madini ya Zink kwa wingi ni nyama nyekundu, mbegu za maboga, maziwa, nafaka nzima n.k

VITAMINI 'D'

Vitamini D ina umuhimu mkubwa katika afya ya uzazi kwa mwanaume kwa kusaidia kudhibiti viwango vya testosterone, kuimarisha ubora wa manii, na kudumisha afya ya tezi dume. Pia inaweza kusaidia katika uimarishaji wa misuli, inayosaidia damu kufika vizuri katika uume na uume kusimama vizuri. Vyakula vyenye vitamini D kwa wingi ni samaki, maziwa, mayai,  n.k

OMEGA 3

Omega-3 fatty acids ni muhimu kwa mwanaume katika kuboresha tendo la ndoa. Hizi husaidia katika uzalishaji wa homoni, ikiwa ni pamoja na homoni ya testosterone, ambayo ina jukumu muhimu katika kufanya mapenzi vizuri. Pia, hufaidia moyo kuleta mzunguko mzuri wa damu mwilini, bila mzunguko mzuri uume husimama legelege. Kupata virutubisho hivi kula mbegu za chia, walnuts, dagaa n.k

VITAMINI 'C'

Ni muhimu katika kudumisha mfumo wa kinga wa mwili. Inachangia kwa kiasi kikubwa katika kupambana na free radical mwilini, ambazo zinaweza kusababisha uharibifu wa seli na kuongeza hatari ya magonjwa. Kinga ya mwili ikiwa imara husaidia kuboresha tendo la ngono. Vitamini C pia hudumisha afya ya mishipa ya damu na moyo. Vyakula muhimu machungwa, asali, spinachi, sukumawiki (kale) n.k

VITAMINI 'E'

Vitamini E inaweza kusaidia kuzuia kuziba kwa mishipa ya damu na kuboresha mzunguko wa damu. Hii ina athari chanya kwa kuzuia magonjwa ya moyo na hata kushusha viwango vya shinikizo la damu. Kuweka kiwango cha vitamini E katika lishe kunaweza kuchangia kwa kiasi kikubwa katika kudumisha afya ya moyo na kuzuia matatizo ya mishipa ya damu.  Inapatikana kwa wingi katika parachichi

VIRUTUBISHO VINGINE

Virutubisho vyote vyenye uwezo wa kusaidia mzunguko mzuri wa damu mwilini, na kuimarisha misuli ya uume na neva ni muhimu kwa afya ya uzazi ya mwanaume. Vifuatavyo ni virutubisho ambavyo pia vina mchango mzuri kuboresha afya ya uzazi kwa wanaume; Selenium, L-Arginine, Folate, Vitamini B-complex, Citrulline n.k

HUBORESHA NGUVU ZA KIUME

ASALI YA BABA

Asali ya BABA ni tiba ya kuondoa tatizo (siyo booster), maalum kabisa kwa wanaume wenye tatizo la upungufu wa nguvu za kiume na wale ambao hawana tatizo ila wanahitaji kuboresha ufanisi wao katika tendo la ndoa. Imarisha nguvu zako za kiume leo kwa kutumia asali asilia. Lishe yako, nguvu yako.

Hutibu Uume Uliolegea

Uume kuwa legelege na kuchomoka hovyo wakati wa tendo la ndoa, huweza kutibiwa kwa ASALI YA BABA kwa kusaidia mzunguko mzuri wa damu kwenye uume.

Huongeza Uume

Sababu kuu ya uume kuongezeka ni kuimarika misuli ya uume, uume uliosinyaa na kuwa kama wa mtoto mdogo huweza kurejea katika hali yake ya awali.

Hutibu Kuwahi Kufika Kileleni

Kama unatumia muda mchache kitandani (chini ya dakika 7), basi ASALI YA BABA itakufaa kukabiliana na tatizo hilo linalotia huzuni pindi uwapo na mkeo.

Hutibu Madhara ya Punyeto

Husaidia kukunjua mishipa na misuli ya uume iliyosinyaa na kufanya uume kuwa kama umedidimia kwa ndani.

Huongeza Hamu ya Mapenzi

Homoni ya Testosterone ndiyo inayojishughulisha na kuongeza hamu ya kufanya mapenzi, matumizi ya ASALI YA BABA husababisha kuongezeka kwa homoni hiyo muhimu kwa wanaume.

MATUMIZI YA ASALI YA BABA

Lamba kijiko kikubwa kimoja (10 ml) mara mbili kwa siku. Kwa muda wa siku 21, mabadiliko unaweza kuanza kuyaona baada ya siku 7. Dozi kamili ni ASALI YA BABA lita moja

DOZI KAMILI = TSH 75,000
NUSU = 38,000

Kwanini Utumie ASALI YA BABA?

HAINA KEMIKALI

Imeandaliwa kwa mimea ya asili ikiwamo asali ya nyuki wadogo, karoti pori nyeupe, tangawizi, mdalasini na pilipili manga. Haijaongezwa kemikali yoyote

NI TIBA YA KUDUMU

Hii siyo booster, ni tiba ya kumaliza kabisa tatizo, mabadiliko unaweza kuyaona ndani ya wiki ya kwanza hadi ya pili , na hutibu kwa dozi moja tu. 

HUPATIKANA KWA WEPESI

Tuna mawakala katika mikoa ifuatayo Dar es Salaam, Arusha, Mwanza, Mbeya, Dodoma, Zanzibar, Kagera n.k Pia tunatuma hadi nje ya nchi.

MAMBO YA KUZINGATIA

Kuboresha Nguvu za Kiume Haraka

Kupunguza Mawazo

Msongo wa mawazo unaweza kusababisha kuongezeka kwa viwango vya homoni ya cortisol mwilini. Viwango vya juu vya cortisol vinaweza kuharibu mfumo wa endocrine, pamoja na kusababisha shida za ngono kama vile kupungua kwa hamu ya ngono na kushuka kwa nguvu za kiume. Kupunguza msongo wa mawazo kunaweza kusaidia kupunguza viwango vya cortisol na kurejesha usawa wa homoni.

Zingatia Lishe Bora

Kula chakula kama vile mbegu za maboga, walnuts, asali, samaki, mbegu za chia, tangawizi na mdalasini n.k kunaweza kuchangia kwa njia kadhaa katika kuboresha nguvu za kiume. Lishe yenye afya husaidia kuboresha nguvu za kiume kwa kusaidia uzalishaji wa testosterone, kudumisha afya ya mfumo wa mzunguko wa damu na moyo, kusaidia katika uzalishaji wa manii yenye afya.

Mazoezi ya Kegel

Mazoezi ya Kegel ni mazoezi yanayolenga kuimarisha misuli ya nyonga (pervic). Misuli ya pelvic inashiriki katika udhibiti wa mtiririko wa damu kwenye eneo la nyonga, ikiwa ni pamoja na damu inayohusika na kudindisha uume. Kwa kufanya mazoezi ya kegel na kujenga misuli ya nyonga, wanaume wanaweza kudumisha udhibiti bora wa mtiririko wa damu kwenda kwenye uume, ambayo inaweza kusaidia katika uume kudinda vizuri.

Kuacha Pombe

Pombe na madawa ya kulevya yanaweza kusababisha kusinyaa kwa mishipa ya damu, ambayo inaweza kupunguza mzunguko wa damu kwenye viungo vya ngono. Mzunguko duni wa damu unaweza kusababisha erectile dysfunction. Pia pombe inaweza kuingiliana na mfumo wa endocrine na kusababisha kudhibitiwa kwa viwango vya testosterone. Hii inaweza kusababisha kupungua kwa libido, na uume kuwa legevu.

Pima Afya yako

Kupima afya yako kunaweza kusaidia kutambua matatizo ya afya ambayo yanaweza kuathiri nguvu za kiume, kama vile kuwa na viwango vya chini vya testosterone, ugonjwa wa moyo, kisukari, shinikizo la damu (presha), ngiri (hernia), matatizo katika tezi dume (prostate glands) au matatizo mengine ya kiafya ambayo yanaweza kusababisha dysfunction ya erectile au shida nyingine za ngono. Baada ya kutambua hali yako kiafya utakuwa na uwanja mzuri wa kutafuta tiba ya maradhi yanayokukabili.

Ushauri wa Kitaalamu

Kuomba ushauri wa kitaalamu kunaweza kuwa hatua muhimu katika kuboresha nguvu za kiume. Daktari au wataalamu wengine wa afya wanaweza kutoa mwongozo, matibabu, na msaada unaohitajika ili kushughulikia masuala ya nguvu za kiume na kuboresha afya nzima ya mwili. Jitahidi kuwa muwazi kwa mtaalamu au wataalamu wanaoshughulikia tatizo lako, kuwa msiri kwa mtu anayetaka kukusaidia huweza kupelekea lengo la matibabu kutokufanikiwa.

RAWZA HONEY

Asali bora kwa matumizi yako

Matumizi ya asali mbichi na mdalasini

ASALI NA MDALASINI

Husaidia kupunguza unene wa tumbo, kudhibiti sukari mwilini, huongeza kinga ya mwili, huboresha mmeng’enyo wa chakula, husaidia kuondoa uvimbe ndani ya mwili n.k

asali na tangawizi kwa afya yako

ASALI NA TANGAWIZI

Huboresha nguvu za kiume, husaidia mzunguko mzuri wa damu mwilini, hutibu kikohozi, kupambana na athari za kansa, husaidia mmeng’enyo wa chakula n.k

Scroll to Top