slide 1
slide 1
slide 1
slide 1
slide 1
Image Slide 2
Utafutaji Mbochi
Utengenezaji Masega
Utengenezaji Masega
Uvunaji wa Asali
Uvunaji wa Asali
Uvunaji wa Asali
Masega yenye Asali
Uvunaji wa Asali
previous arrowprevious arrow
next arrownext arrow
Shadow

🍯

ASALI MBICHI

Asali Mbichi ya Rawza ni asali inayotokana na nyuki wakubwa na nyuki wadogo, walioweka makazi katika misitu iliyosheheni miti ya asili mkoani Tabora. Asali ya Rawza ambayo pia hujulikana kama Rawza Honey imehifadhiwa katika kifungashio vizuri, ili kulinda ubora wake. Kununua asali ya Rawza ya nyuki wakubwa au wadogo waweza wasiliana nasi kwa simu au WhatsApp 0787001819.

Katika tovuti hii utapata maelezo mazuri kuhusu asali kama vile namna mbalimbali za kuitumia katika mapenzi, kutibu vidonda vya tumbo, uzazi, urembo wa uso n.k, kubwa zaidi, utaweza kununua asali bora kabisa kwa bei nafuu. 

FAIDA ZA KUTUMIA

Asali Mbichi

Zifuatazo ni faida za kutumia asali ya Rawza kama nyenzo ya kutibu maradhi mbalimbali. Anza leo kuitumia kwa matokeo mazuri na ya haraka.

Nguvu za Kiume

Asali ya Rawza ina virutubisho vingi ikiwapo glucose na fructose, ikichanganywa na viungo vingine ikiwamo tangawizi husaidia wenye tatizo la upungufu wa nguvu za kiume.

Vidonda vya Tumbo

Asali ya Rawza inaweza kuimarisha kuta za tumbo na kusaidia kuzuia uharibifu zaidi. Inasaidia kuongeza uzalishaji wa seli za kuta za tumbo na kukuza muundo mzuri wa tishu.

Kutibu Fangasi

Asali ya Rawza ina properties za antibakteria na antifangasi, ambazo zinaweza kusaidia kutibu fangasi ikiwamo wa sehemu za siri.

Kutibu Kikohozi

Tumia Asali ya Rawza kutibu kikohozi kikavu au cha laini. Asali ya Rawza ina uwezo mkubwa wa kuuwa bacteria hatari.

Mmeng'enyo wa Chakula

Husaidia usagaji mzuri wa chakula tumboni, na kupunguza tatizo la kupata choo kwa shida au kushindwa kupata choo kwa muda mrefu.

Namna ya kuitumia asali mbichi hutofautiana kutoka mtu mmoja hadi mwingine kwa kuzingatia umri, aina ya tatizo alilonalo, lengo la matumizi n.k 

Kwa ushauri wa BURE kuhusu matumizi sahihi ya asali mbichi wasiliana nasi kwa simu au WhatsApp

ğŸ“ž  0787001819

FAHAMU LEO

JINSI YA KUITAMBUA ASALI MBICHI

Wataalamu kutoka Wizara ya Mali Asili wameelekeza njia nyepesi zinazoweza kutumika kupima kama asali ni mbichi au siyo. Njia ambazo zinaweza kutumika ni kiberiti, mchanga mkavu, karatasi nyeupe, kuimimina, kuinusa, kuiramba, kuishika kwa mkono. Hapa tutakufafanulia njia tatu kati ya hizo. 

Njiti ya Kiberiti

Fungua kiberiti kisha toa njiti moja ya kiberiti, ile sehemu yake yenye baruti ichovye kwenye asali (hakikisha imegusa asali), baada ya hapo itoe na iwashe kwenye kiberiti. Kama ikiwaka na kutoa moto vizuri, hiyo ni ishara kuwa haikuongezwa maji.

Karatasi

Chukua karatasi kisha ilaze chini, dondoshea matone mawili matatu ya asali juu ya karatasi hiyo, kisha iinue na kuigeuza juu chini. Tazama kama karatasi hiyo kama imelowana kwa chini. Kama haioneshi ishara ya kulowana asali hiyo ni nzuri.

Mchanga Mkavu

Kusanya mchanga mkavu kiasi kidogo, kisha chukua chupa yako ya asali na udondoshee matone mawili matatu juu ya mchanga huo. Asali mbichi haizami kwenye mchanga mkavu, endelea kuichunguza kwa dakika walau tano, kama imebaki palepale juu hiyo ni asali nzuri.

RAWZA HONEY

Asali bora kwa matumizi yako

Matumizi ya asali mbichi na mdalasini

ASALI NA MDALASINI

Husaidia kupunguza unene wa tumbo, kudhibiti sukari mwilini, huongeza kinga ya mwili, huboresha mmeng’enyo wa chakula, husaidia kuondoa uvimbe ndani ya mwili n.k

asali na tangawizi kwa afya yako

ASALI NA TANGAWIZI

Huboresha nguvu za kiume, husaidia mzunguko mzuri wa damu mwilini, hutibu kikohozi, kupambana na athari za kansa, husaidia mmeng’enyo wa chakula n.k

Umuhimu wa maji ya uvuguvugu na asali mbichi.

ASALI NA MAJI

Huupa mwili nguvu, husaidia kulainisha choo, hurahisisha mmeng’enyo wa chakula, huboresha afya ya ngozi, husaidia kupunguza unene wa mwili n.k

Bofya Kitufe Kuwasiliana Nasi

Scroll to Top