Dawa ya upungufu wa nguvu za  kiume
Uvunaji wa Asali
Shadow

Bofya Kitufe Kuwasiliana Nasi

Jinsi ya Kutibu Tatizo la Upungufu wa Nguvu za Kiume kwa Haraka

Upungufu wa nguvu za kiume huwa na sababu zinazopelekea kutokea, dalili za tatizo hili huweza kujidhihirisha kwa namna tofauti. Katika ukurasa huu tutaangalia kwa ufupi sababu, dalili, madhara na jinsi ya kutibu tatizo la upungufu wa nguvu za kiume kwa wanaume.

Upungufu wa nguvu za kiume au erectile dysfunction kwa lugha ya kitaalamu, ni hali ambayo mwanaume hushindwa kusimamisha (kudindisha) uume wake au kuwa na uwezo mdogo wa kudumu katika hali hiyo (ya kudinda) wakati wa tendo la ndoa.

Utafiti uliofanywa na Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) mwaka 2016 katika wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam, unaonesha takriban mwanaume mmoja kati ya wanne ana tatizo la nguvu za kiume.

DAWA ZA KUTIBU

Sababu Zinazopelekea Upungufu wa Nguvu za Kiume

KUPIGA PUNYETO

Kufanya punyeto au kujichua uume k kwa lengo la kujistarehesha huweza kuharibifu wa mishipa ya damu ya uume, ili uume udinde vizuri hupokea damu nyingi na kuizuia isitoke kwa muda fulani. Mishipa ya damu inapoathirika huathiri pia mzunguko mzuri wa damu kuelekea kwenye uume. Hatimaye uume huwa legelege.

KUKOSA LISHE BORA

Ili kuboresha nguvu za kiume mwanaume anahitaji kuwa kwa wingi vyakula vyenye madini ya zinki kwa ajili ya kuimarisha korodani na tezi dume, pia anahitaji vitamini D, Omega 3 fatty, vitamini C na virutubisho vingine muhimu. Kukosa virutubisho hivyo upelekea tatizo la upungufu wa nguvu za kiume.

STRESS

Msongo wa mawazo (stress) unaweza kusababisha kuongezeka kwa viwango vya homoni ya cortisol mwilini. Viwango vya juu vya cortisol hupunguza hamu ya ngono na kushuka kwa nguvu za kiume. Ndiyo maana wanaume wanaosumbuliwa na matatizo makubwa yanayopelekea msongo mkubwa wa mawazo huwa ni wahanga.

UWIANO WA HOMONI

Mwili wa mwanadamu una homoni nyingi zinazoshirikiana kusababisha mwili kuwa na hisia za kutaka kufanya tendo la ndoa,  kufanya tendo la ndoa vizuri na kwa muda mrefu. Uwiano mbaya wa homoni kama vile Testosterone, Thyroid, Cortisol, Serotonin hupelekea kutokuwa imara katika tendo la ndoa.

MAGONJWA

Magonjwa kama vile ugonjwa wa shinikizo la damu (presha), kisukari, ngiri, kuvimba tezi dume, moyo n.k huweza kupelekea mwanaume kutokuwa imara kitandani. Kwa mfano ugonjwa wa shinikizo la damu (presha) hupunguza uwezo wa mishipa ya damu kutanuka vizuri (vasolidation) na kupitisha damu ya kutosha kwenye uume, hivyo hupelekea uume kutokuwa imara. 

POMBE & DAWA ZA KULEVYA

Pombe na dawa za kulevya zinaweza kudhoofisha utendaji kazi wa mfumo wa neva kwa kuzuia uhamishaji wa taarifa kati ya seli za neva. Hii inaweza kusababisha kupungua kwa uwezo wa mfumo wa neva kusisimua na kudumisha uume uliosimama.

HUBORESHA NGUVU ZA KIUME

ASALI YA BABA

Asali ya BABA ni tiba ya kuondoa tatizo (siyo booster), maalum kabisa kwa wanaume wenye tatizo la upungufu wa nguvu za kiume na wale ambao hawana tatizo ila wanahitaji kuboresha ufanisi wao katika tendo la ndoa. Imarisha nguvu zako za kiume leo kwa kutumia asali asilia. Lishe yako, nguvu yako.

Hutibu Uume Uliolegea

Uume kuwa legelege na kuchomoka hovyo wakati wa tendo la ndoa, huweza kutibiwa kwa ASALI YA BABA kwa kusaidia mzunguko mzuri wa damu kwenye uume.

Huongeza Uume

Sababu kuu ya uume kuongezeka ni kuimarika misuli ya uume, uume uliosinyaa na kuwa kama wa mtoto mdogo huweza kurejea katika hali yake ya awali.

Hutibu Kuwahi Kufika Kileleni

Kama unatumia muda mchache kitandani (chini ya dakika 7), basi ASALI YA BABA itakufaa kukabiliana na tatizo hilo linalotia huzuni pindi uwapo na mkeo.

Kurudia tendo la ndoa

Husaidia mwili kuweza kurudia tendo la ndoa baada ya kupiga bao la kwanza.

Huongeza Hamu ya Mapenzi

Homoni ya Testosterone ndiyo inayojishughulisha na kuongeza hamu ya kufanya mapenzi, matumizi ya ASALI YA BABA husababisha kuongezeka kwa homoni hiyo muhimu kwa wanaume.

MATUMIZI YA ASALI YA BABA

Lamba kijiko kimoja kikubwa (10 ml) mara mbili kwa siku, hadi asali yako iishe. Mabadiliko unaweza kuanza kuyaona baada ya siku 7. Dozi kamili ni ASALI YA BABA lita moja

DOZI KAMILI = TSH 75,000
NUSU = 38,000

Kwanini Utumie ASALI YA BABA?

HAINA KEMIKALI

Imeandaliwa kwa mimea ya asili ikiwamo asali ya nyuki wadogo, karoti pori nyeupe, tangawizi, mdalasini na pilipili manga. Haijaongezwa kemikali yoyote

NI TIBA YA KUDUMU

Hii siyo booster, ni tiba ya kumaliza kabisa tatizo, mabadiliko unaweza kuyaona ndani ya wiki ya kwanza hadi ya pili , na hutibu kwa dozi moja tu. 

HUPATIKANA KWA WEPESI

Tuna mawakala katika mikoa ifuatayo Dar es Salaam, Arusha, Mwanza, Mbeya, Dodoma, Zanzibar, Kagera n.k Pia tunatuma hadi nje ya nchi.

Dalili za Upungufu wa Nguvu za Kiume

Madhara ya Upungufu ya Nguvu za Kiume

JIFUNZE LEO

Jinsi ya Kuongeza Nguvu za Kiume kwa Haraka

Mazoezi ya Kegel

Mazoezi ya Kegel ni mazoezi yanayolenga kuimarisha misuli ya nyonga (pervic). Misuli ya pelvic inashiriki katika udhibiti wa mtiririko wa damu kwenye eneo la nyonga, ikiwa ni pamoja na damu inayohusika na kudindisha uume. Kwa kufanya mazoezi ya kegel na kujenga misuli ya nyonga, wanaume wanaweza kudumisha udhibiti bora wa mtiririko wa damu kwenda kwenye uume, ambayo inaweza kusaidia katika uume kudinda vizuri.

Zingatia Lishe Bora

Kula chakula kama vile mbegu za maboga, walnuts, asali, samaki, mbegu za chia, tangawizi na mdalasini n.k kunaweza kuchangia kwa njia kadhaa katika kuboresha nguvu za kiume. Lishe yenye afya husaidia kuboresha nguvu za kiume kwa kusaidia uzalishaji wa testosterone, kudumisha afya ya mfumo wa mzunguko wa damu na moyo, kusaidia katika uzalishaji wa manii yenye afya.

Kupunguza Stress

Msongo wa mawazo unaweza kusababisha kuongezeka kwa viwango vya homoni ya cortisol mwilini. Viwango vya juu vya cortisol vinaweza kuharibu mfumo wa endocrine, pamoja na kusababisha shida za ngono kama vile kupungua kwa hamu ya ngono na kushuka kwa nguvu za kiume. Kupunguza msongo wa mawazo kunaweza kusaidia kupunguza viwango vya cortisol na kurejesha usawa wa homoni.

Kuacha Pombe

Pombe na madawa ya kulevya yanaweza kusababisha kusinyaa kwa mishipa ya damu, ambayo inaweza kupunguza mzunguko wa damu kwenye viungo vya ngono. Mzunguko duni wa damu unaweza kusababisha erectile dysfunction. Pia pombe inaweza kuingiliana na mfumo wa endocrine na kusababisha kudhibitiwa kwa viwango vya testosterone. Hii inaweza kusababisha kupungua kwa libido, na uume kuwa legevu.

Pima Afya yako

Kupima afya yako kunaweza kusaidia kutambua matatizo ya afya ambayo yanaweza kuathiri nguvu za kiume, kama vile kuwa na viwango vya chini vya testosterone, ugonjwa wa moyo, kisukari, shinikizo la damu (presha), ngiri (hernia), matatizo katika tezi dume (prostate glands) au matatizo mengine ya kiafya ambayo yanaweza kusababisha dysfunction ya erectile au shida nyingine za ngono. Baada ya kutambua hali yako kiafya utakuwa na uwanja mzuri wa kutafuta tiba ya maradhi yanayokukabili.

Ushauri wa Kitaalamu

Kuomba ushauri wa kitaalamu kunaweza kuwa hatua muhimu katika kuboresha nguvu za kiume. Daktari au wataalamu wengine wa afya wanaweza kutoa mwongozo, matibabu, na msaada unaohitajika ili kushughulikia masuala ya nguvu za kiume na kuboresha afya nzima ya mwili. Jitahidi kuwa muwazi kwa mtaalamu au wataalamu wanaoshughulikia tatizo lako, kuwa msiri kwa mtu anayetaka kukusaidia huweza kupelekea lengo la matibabu kutokufanikiwa.

Kudhibiti Uzito

Mafuta mengi mwilini yanaweza kuziba mishipa ya damu, kupunguza mtiririko wa damu kwenye sehemu za siri, jambo ambalo linaathiri nguvu za kiume. Ili uume usimame vizuri, moyo husukuma damu nyingi kuelekea kwenye uume, kisha damu hiyo huzuiliwa na mwili isitoke katika uume. Kwa damu nyingi kuingia katika uume hufanya uume kurefuka sana wakati hisia za kushiriki tendo la ndoa zinapoongezeka. Mafuta mengi mwilini hupelekea damu kutopita vizuri kuelekea kwenye uume.

Kulala vya Kutosha

Kulala vya kutosha ni muhimu kwa afya ya mwanaume kwa sababu inaathiri viwango vya homoni, kama vile testosterone, ambayo inachangia sana katika nguvu za kiume. Wakati unapopata usingizi wa kutosha, mwili wako una nafasi ya kupona na kurekebisha tishu zilizoharibiwa wakati wa shughuli za mchana. Hii ni muhimu sana kwa mfumo wa neva na homoni ambazo zinadhibiti hamu ya ngono na utendaji wa mwili.

Tumia Dawa

Zipo dawa nyingi zinazoweza kusaidia kuongeza nguvu za kiume kwa haraka, jambo la muhimu ni kujieleza vizuri kama una changamoto nyingine yoyote inakusumbua kama vile ugonjwa wa kisukari, presha, tezi dume n.k
Zipo dawa za hospitali na dawa za asili ambazo zimeonesha matokeo mazuri. Miongoni mwa dawa hizo ni ASALI YA BABA ambayo ni dawa iliyo katika mfumo wa tiba lishe, huhusaidia mwili wa mwanaume kurejesha uwezo wake wa asali wa kubudu tendo la jimai.

RAWZA HONEY

Asali bora kwa matumizi yako

Namna ya kutibu tatizo la kuwahi kufika kileleni.

KUWAHI KUFIKA KILELENI

Jinsi ya kutibu tatizo la kuwahi kufika kileleni wakati wa kufanya mapenzi huweza kutofautiana kutoka mtu mmoja hadi mwingine. Kama unatumia dakika chini ya tatu (3) kwa bao la kwanza, na unashindwa kurudia tendo la ndoa fuata maelekezo haya. 

Vyakula muhimu kuongeza nguvu za kiume kwa haraka

VYAKULA VYA WANAUME

Vyakula vya kuongeza nguvu za kiume kwa haraka hujumuisha vyakula vyenye virutubisho vifuatavyo kwa wingi, madini ya Zinki (zinc), Vitamini D, Omega 3 fatty acids, Vitamini C, vitamini E,  Selenium, L-Arginine, Folate (Asidi ya Folic), Vitamin B-Complex, Citrulline n.k

asali na tangawizi kwa afya yako

ASALI NA TANGAWIZI

Asali na tangawizi huweza kuboresha nguvu za kiume, kwa kusaidia mzunguko mzuri wa damu mwilini, uume hauwezi kusimama vizuri na kudumu kwa muda mrefu kama mzunguko wako wa damu ukiwa haupo vizuri.

Refractory Period

Kushindwa Kurudia Tendo la Ndoa Haraka

Refractory period ni kipindi cha muda baada ya mwanaume kufikia kilele cha msisimko wa kimapenzi na kutokea kwa kilele (kumwaga manii/ejaculation). Katika kipindi hiki, mwanaume mara nyingi hana uwezo wa kufikia kilele kingine au kushiriki tendo la ngono tena kwa muda fulani. Kwa kawaida, refractory period inaweza kutofautiana kati ya mtu mmoja hadi mwingine, wapo wanaotumia dakika chache hadi hamu kujirudia na wapo wanaotumia muda mrefu kiasi, na wengine hawawezi kabisa kurudia tendo ndani ya siku hiyo.
 
Wakati wa refractory period, mwili unapumzika na kurejesha nguvu zake baada ya kilele. Hii inahusisha kupungua kwa hamu ya kufanya mapenzi na uwezo wa uume kusimama vizuri. Kipindi hiki ni sehemu ya kawaida ya mzunguko wa kufanya mapenzi kwa mwanaume.
 
Muda wa refractory period unaweza kutofautiana kwa kiasi kikubwa kati ya watu. Mambo kama umri, afya, mazoezi na hali ya kisaikolojia yanaweza kuathiri urefu wa refractory. Wasiliana nasi kujifunza bure, namna bora ya kupunguza urefu wa muda (refractory period) ili uwahi kurejea mchezoni mapema.
Scroll to Top