Jinsi ya kutibu athari za punyeto kwa wanaume
Uvunaji wa Asali
Shadow

Bofya Kitufe Kuwasiliana Nasi

Tiba ya Madhara ya Upigaji Punyeto kwa Wanaume

Jinsi ya kutibu athari za punyeto au kujichua kwa wanaume huweza kutofautiana kutokana na kiwango cha madhara yaliyosababishwa na tendo hilo, zipo njia nyingi za kukabiliana na suala hili ikiwapo kutumia dawa za hospitali au kutumia dawa za asili na vyakula vyenye madini muhimu kwa wanaume. Miongoni mwa faida ya kufanya punyeto ni mtu kujistarehesha mwenyewe, kwa kawaida jambo lenye madhara mengi kuliko faida linapaswa kuachwa mara moja. 

Katika ukurasa huu tutaangalia madhara yatokanayo na kufanya punyeto, jinsi ya kuacha kupiga punyeto pamoja na dawa anazoweza kutumia mwanaume aliyeathiriwa na masturbation (punyeto). Tunaomba utumie muda wako kidogo kusoma hadi mwisho ili ujifunze mambo mengi.

MADHARA YA PUNYETO

UUME KULEGEA

Misuli ya uume hulegea na kushindwa kudinda kwa muda mrefu, kama tatizo lisipotibiwa mapema hali huzidi kuwa mbaya.

KUKOSA HAMU

Mwanaume hukosa kabisa hamu ya kushiriki tendo la ndoa, kwa kuhofia kufedheheka na kupata aibu kitandani.

KUWAHI KUPIGA BAO

Muda mfupi baada ya uume kuingia ukeni na kuhisi joto la uke, mwanaume hutokwa na manii na kazi huishia hapo.

MSONGO WA MAWAZO

Kiwango cha msongamano wa mawazo huzidi, mwathirika hujilaumu na kuwa na hali ya kukata tamaa kujaribu kushiriki tendo la ndoa. 

URAIBU

Ikiwa kufanya punyeto inakuwa tabia ya mara kwa mara, huathiri mfumo maisha yako ya kila siku, na kuona siku haiendi vizuri hadi ufanye punyeto.

MIGOGORO

Huweza kusababisha migororo katika ndoa kwa mwanaume kushindwa kumtosheleza mwenza wake, hii pia huweza kupelekea usaliti.

MAMBO YA KUZINGATIA

Kuboresha Nguvu za Kiume Haraka

Kupunguza Mawazo

Msongo wa mawazo unaweza kusababisha kuongezeka kwa viwango vya homoni ya cortisol mwilini. Viwango vya juu vya cortisol vinaweza kuharibu mfumo wa endocrine, pamoja na kusababisha shida za ngono kama vile kupungua kwa hamu ya ngono na kushuka kwa nguvu za kiume. Kupunguza msongo wa mawazo kunaweza kusaidia kupunguza viwango vya cortisol na kurejesha usawa wa homoni.

Zingatia Lishe Bora

Kula chakula kama vile mbegu za maboga, walnuts, asali, samaki, mbegu za chia n.k na viungo kama vile tangawizi na mdalasini vinaweza kuchangia kwa njia kadhaa katika kuboresha nguvu za kiume. Lishe yenye afya husaidia kuboresha nguvu za kiume kwa kusaidia uzalishaji wa testosterone, kudumisha afya ya mfumo wa mzunguko wa damu na moyo, kusaidia katika uzalishaji wa manii yenye afya.

Mazoezi ya Kegel

Mazoezi ya Kegel ni mazoezi yanayolenga kuimarisha misuli ya nyonga (pervic). Misuli ya pelvic inashiriki katika udhibiti wa mtiririko wa damu kwenye eneo la nyonga, ikiwa ni pamoja na damu inayohusika na kudindisha uume. Kwa kufanya mazoezi ya kegel na kujenga misuli ya nyonga, wanaume wanaweza kudumisha udhibiti bora wa mtiririko wa damu kwenda kwenye uume, ambayo inaweza kusaidia katika uume kudinda vizuri.

Kuacha Pombe

Pombe na madawa ya kulevya yanaweza kusababisha kusinyaa kwa mishipa ya damu, ambayo inaweza kupunguza mzunguko wa damu kwenye viungo vya ngono. Mzunguko duni wa damu unaweza kusababisha erectile dysfunction. Pia pombe inaweza kuingiliana na mfumo wa endocrine na kusababisha kudhibitiwa kwa viwango vya testosterone. Hii inaweza kusababisha kupungua kwa libido, na uume kuwa legevu.

Pima Afya yako

Kupima afya yako kunaweza kusaidia kutambua matatizo ya afya ambayo yanaweza kuathiri nguvu za kiume, kama vile kuwa na viwango vya chini vya testosterone, ugonjwa wa moyo, kisukari, shinikizo la damu (presha), ngiri (hernia), matatizo katika tezi dume (prostate glands) au matatizo mengine ya kiafya ambayo yanaweza kusababisha dysfunction ya erectile au shida nyingine za ngono. Baada ya kutambua hali yako kiafya utakuwa na uwanja mzuri wa kutafuta tiba ya maradhi yanayokukabili.

Ushauri wa Kitaalamu

Kuomba ushauri wa kitaalamu kunaweza kuwa hatua muhimu katika kuboresha nguvu za kiume. Daktari au wataalamu wengine wa afya wanaweza kutoa mwongozo, matibabu, na msaada unaohitajika ili kushughulikia masuala ya nguvu za kiume na kuboresha afya nzima ya mwili. Jitahidi kuwa muwazi kwa mtaalamu au wataalamu wanaoshughulikia tatizo lako, kuwa msiri kwa mtu anayetaka kukusaidia huweza kupelekea lengo la matibabu kutokufanikiwa.

HUBORESHA NGUVU ZA KIUME

ASALI YA BABA

Asali ya BABA ni maalum kabisa kwa wanaume wenye tatizo la upungufu wa nguvu za kiume na wale ambao hawana tatizo ila wanahitaji kuboresha ufanisi wao katika tendo la ndoa. Imarisha nguvu zako za kiume leo kwa kutumia asali asilia. Lishe yako, nguvu yako.

Hutibu Uume Uliolegea

Uume kuwa legelege na kuchomoka hovyo wakati wa tendo la ndoa, huweza kutibiwa kwa ASALI YA BABA kwa kusaidia mzunguko mzuri wa damu kwenye uume.

Huongeza Uume

Sababu kuu ya uume kuongezeka ni kuimarika misuli ya uume, uume uliosinyaa na kuwa kama wa mtoto mdogo huweza kurejea katika hali yake ya awali.

Hutibu Kuwahi Kufika Kileleni

Kama unatumia muda mchache kitandani (chini ya dakika 7), basi ASALI YA BABA itakufaa kukabiliana na tatizo hilo linalotia huzuni pindi uwapo na mkeo.

Hupunguza Mchoko

Hali ya kuchoka wakati wa tendo la ndoa huweza kuondolewa na ASALI YA BABA kwani ina sukari ya asili ambayo huupa mwili nguvu na kuondoa uchovu.

Huongeza Hamu ya Mapenzi

Homoni ya Testosterone ndiyo inayojishughulisha na kuongeza hamu ya kufanya mapenzi, matumizi ya ASALI YA BABA husababisha kuongezeka kwa homoni hiyo muhimu kwa wanaume.

MATUMIZI YA ASALI YA BABA

Lamba kijiko kikubwa kimoja (10 ml) mara mbili kwa siku. Kwa muda wa siku 21, mabadiliko unaweza kuanza kuyaona baada ya siku 7. Dozi kamili ni ASALI YA BABA lita moja

DOZI KAMILI = TSH 75,000
NUSU = 38,000

Kwanini Utumie ASALI YA BABA?

HAINA KEMIKALI

Imeandaliwa kwa mimea ya asili ikiwamo asali ya nyuki wadogo, karoti pori nyeupe, tangawizi, mdalasini na pilipili manga. Haijaongezwa kemikali yoyote

NI TIBA YA KUDUMU

Hii siyo booster, ni tiba ya kumaliza kabisa tatizo, mabadiliko unaweza kuyaona ndani ya wiki ya kwanza hadi ya pili , na hutibu kwa dozi moja tu. 

HUPATIKANA KWA WEPESI

Tuna mawakala katika mikoa ifuatayo Dar es Salaam, Arusha, Mwanza, Mbeya, Dodoma, Zanzibar, Kagera n.k Pia tunatuma hadi nje ya nchi.

CHUKUA HATUA SASA

Jinsi ya Kuacha Kufanya Punyeto

TAMBUA SABABU

Anza kwa kujitambua na kuelewa ni kwanini unataka kuacha tabia ya kujichua. Je, ni kwa sababu za kiafya, kimaadili, au kuboresha uhusiano wako? Hii itakusaidia kudumisha motisha na lengo lako.

WEKA MALENGO

Weka malengo madogo na ya kufikika. Kuanza na malengo madogo kunaweza kukupa mafanikio madogo ambayo yanaweza kujenga imani na kujiamini. Kamwe usiweke malengo ambayo haiwezekani kuyafikia.

PANGA MPANGO

Fanya mabadiliko kwenye mazingira yako ili kuzuia mazingira yanayoweza kuchochea tabia ya kupiga punyeto. Kwa mfano, epuka kutumia muda mwingi ukiwa peke yako au katika mazingira ya siri, acha tutazama picha za uchi.

JISHUGHULISHE

Tafuta shughuli mbadala na za kujenga, kama kushiriki michezo, kujifunza kitu kipya, au kushiriki katika shughuli za kijamii. Hii itakusaidia kutumia muda wako kwa njia inayochangia maendeleo yako binafsi.

KULA CHAKULA BORA

Jitahidi kudumisha afya yako kwa kula vyakula bora kwenye kuboresha nguvu za kiume kama vile asali, tangawizi, parachichi n.k, pia kwa kufanya mazoezi mara kwa mara, na kupata usingizi wa kutosha.

KUJIDHIBITI

Jifunze kufuatilia hisia na mawazo yako. Kuelewa ni nini kinakusukuma kuelekea tabia hiyo ya kufanya masterbation. Hii inaweza kukusaidia kubaini mbinu bora za kujidhibiti.

TAFUTA WASHIRIKA

Kuwa na marafiki au watu wanaokuelewa na kushirikiana nao kuhusu safari yako inaweza kusaidia. Kujua kwamba hauko pekee kunaweza kuimarisha azma yako.

KUWA NA SUBIRA

Jitunze na kuwa mpole kwako mwenyewe. Kushindwa kunaweza kutokea, lakini ni muhimu kuendelea kujitahidi kuacha. Subira ni muhimu kwa mchakato huu wa kujikwamua.

MSAADA YA KISAIKOLOJIA

Ikiwa unakabiliwa na changamoto kubwa, fikiria kuwasiliana na mtaalamu wa afya ya akili au mshauri. Wanaweza kutoa mwongozo wa kina na kutoa msaada wa kisaikolojia.

RAWZA HONEY

Asali bora kwa matumizi yako

Sababu na dalili za upungufu wa nguvu za kiume

NGUVU ZA KIUME

Jifunze kuhusu sababu mbalimbali zinazoweza kupelekea tatizo la upungufu wa nguvu za kiume, madhara yatokanayona na upungufu wa nguvu za kiume na jinsi ya kutibu tatizo hilo kwa kutumia dawa mbalimbali za asali na vyakula muhimu kwa wanaume. 

Vyakula muhimu kuongeza nguvu za kiume kwa haraka

VYAKULA VYA WANAUME

Vyakula vya kuongeza nguvu za kiume kwa haraka hujumuisha vyakula vyenye virutubisho vifuatavyo kwa wingi, madini ya Zinki (zinc), Vitamini D, Omega 3 fatty acids, Vitamini C, vitamini E,  Selenium, L-Arginine, Folate (Asidi ya Folic), Vitamin B-Complex, Citrulline n.k

asali na tangawizi kwa afya yako

ASALI NA TANGAWIZI

Huboresha nguvu za kiume, husaidia mzunguko mzuri wa damu mwilini, hutibu kikohozi, kupambana na athari za kansa, husaidia mmeng’enyo wa chakula n.k

Scroll to Top