slide 1
slide 1
Image Slide 2
Asali ya Rawza
Image Slide 2
Maziwa ya Ng'ombe
previous arrowprevious arrow
next arrownext arrow
Shadow

Asali na Maziwa

Asali na maziwa ni miongoni mwa njia bora za urembo wa asili usio na madhara, faida za kutumia asali na maziwa huonekana muda mfupi baada ya mtumiaji kuanza kuvitumia.

Ni muhimu kuhakikisha unatumia asali mbichi halisi 100%, matumizi ya asali iliyochakachuliwa huweza kukuletea madhara makubwa katika ngozi yako. Kununua asali ya Rawza wasiliana nasi kwa namba ya simu 0787001819.

FAIDA ZA ASALI

Kwa urembo wa uso

KUSAFISHA NGOZI

Rawza Honey ina properties za antibakteria na antifangasi, ambazo zinaweza kusaidia kusafisha ngozi kwa kuondoa vijidudu na vimelea vinavyosababisha matatizo ya ngozi.

KULINDA NGOZI

Asali mbichi ya Rawza ina antioxidants za asili, ambazo zinaweza kusaidia kulinda ngozi dhidi ya uharibifu wa seli za ngozi. Jambo hili huifanya ngozi kuwa na afya na yenye kung’aa muda wote.

KUNG'ARISHA NGOZI

Rawza Honey ni kioevu chenye  uwezo wa kushikilia kiwango cha unyevu kwenye ngozi. Hii inasaidia ngozi kuwa laini, yenye unyevu na yenye kung’aa kwa kuwa na kiwango cha unyevu kinachofaa. 

BEI ZA ASALI MBICHI

Bidhaa bora, Gharama nafuu

Asali na Maziwa

Asali ya Rawza na Maziwa

Jinsi ya kuandaa maski ya Asali ya Rawza na Maziwa, waweza pia kutumia yogurt ya asili (isiyo na sukari au ladha) kwa mchanganyiko kama huu.

 

Vifaa Vinavyohitajika

• Vijiko viwili vya asali ya Rawza

• Vijiko viwili vya Maziwa

• Bakuli dogo na kijiko cha kuchanganyia

 

Hatua za Kuandaa

1. Anza kwa kuweka vijiko 2 vya asali katika bakuli lako dogo.

2. Ongeza vijiko 2 vya maziwa au yogurt kwenye bakuli, changanya vizuri hadi kupata mchanganyiko laini.

3. Baada ya kuchanganya vizuri, maski yako ya asali ya Rawza na maziwa itakuwa tayari kwa kutumika.

 

Jinsi ya Kutumia

1. Osha uso wako vizuri kwa maji safi na sabuni, kisha ukaushe kwa taulo.

2. Paka maski yako usoni kwa kutumia brashi laini au vidole, ukitoa tahadhari ya kuepuka eneo la ndani ya macho.

3. Weka tabasamu kwenye uso wako, ili kuzuia misuli ya uso kujifunga wakati maski inakauka.

4. Acha maski ikae usoni kwa takriban dakika kama 15-20 ili viungo vyake viweze kufanya kazi katika ngozi yako.

5. Baada ya muda uliopita, osha uso wako kwa maji ya uvuguvugu na upake moisturizer ikiwa unataka.

 

ANGALIZO:

1. Hakikisha unatumia asali mbichi ya Rawza, matumizi ya asali isiyo mbichi au isiyochujwa vizuri huweza kukuletea matatizo kwenye ngozi.

2. Jaribu kutumia aina maski hii katika sehemu ndogo ya ngozi kuona kama itakukubali, hii ni kanuni muhimu kwa kila aina ya maski ya uso.

Nguvu za Kiume
ZIBORESHE LEO
Nguvu za Kiume

Mbinu za matumizi sahihi ya asali ya Rawza kwenye mapenzi

Vidonda vya tumbo
TIBA MUJARABU
Vidonda vya Tumbo

Jinsi ya kutibu au kupunguza athari za vidonda vya tumbo kwa asali ya Rawza

urembo
NGOZI NYORORO
Urembo wa Uso

Namna ya kutumia asali ya Rawza na viungo vingine kwa urembo wa ngozi yako

Nguvu za Kiume
Afya bora muda wote
Mama Mjamzito

Namna asali ya Rawza inavyochangia afya bora kwa mama na mtoto wakati wa ujauzito

Asali kwa Watoto
AFYA BORA
Asali kwa Watoto

Pata ufahamu wa kina jinsi asali ya Rawza inavyoweza kuchangia afya na ustawi wa watoto wako.

Bofya Kitufe Kuwasiliana Nasi

Scroll to Top