Faida za asali kwa binadamu
Asali ya nyuki wadogo ikitengenezwa
Shadow

Asali na Maji

Asali na maji ya uvuguvugu vina faida kubwa kwa mwanadamu. Mwili wa mwanadamu hufanya kazi vizuri pindi ukipata maji ya kutosha. Virutubisho vilivyomo kwenye asali iwe ya nyuki wa kubwa au ya nyuki wadogo pindi vikichanganywa na maji ya uvuguvugu huleta ladha nzuri na ya kipekee.

Si vyema kuchemsha maji ya moto pamoja na asali, hii huua baadhi ya virutubisho vilivyomo kwenye asali. Badala yake chemsha maji pekee kisha yaache yapoe kidogo yawe ya uvuguvugu, baada ya hapo weka vijiko viwili vidogo vya asali katika glasi ya maji yako. Pendelea kunywa mchanganyiko huu kila asubuhi kabla ya kula chochote. 

FAIDA ZAKE

Asali na Maji

Huupa Mwili Nguvu

Asali ya nyuki wakubwa ina glucose na fructose ambazo huusaidia mwili kuwa na nguvu.

Hulainisha Choo

Husaidia kulainisha choo kikubwa, hasa kwa wale wenye tatizo tatizo la kukosa choo kikubwa kwa muda mrefu.

Hupunguza Unene

Asali ya nyuki wadogo na maji ya uvuguvugu husaidia kupunguza unene kwa kupunguza cholesterol.

Kuongeza Kinga ya Mwili

Huchangia kuimarisha mfumo wa kinga ya mwili, hivyo kusaidia mwili kupambana na magonjwa na maambukizi.

Huboresha Afya ya Ngozi

Huifanya ngozi ya mtumiaji kuwa nyororo na yenye mwonekano mzuri muda wote.

Huboresha Mmeng'enyo

Husaidia mmeng'enyo mzuri wa chakula tumboni, na kuufanya mwili kuepukana na matatizo mengi

BEI ZA ASALI MBICHI

Bidhaa bora, Gharama nafuu

MATUMIZI YA RAWZA HONEY

Asali bora kwa matumizi yako

KATIKA MAPENZI

Fahamu njia nzuri za kutumia asali ya Rawza katika kuboresha tendo la ndoa na mwenza wako, kwa kuichanganya na tangawizi pamoja na mdalasini.

KWENYE DAWA

Jifunze jinsi asali inavyoweza kutumika kama tiba ya asili ya kikohozi, vidonda vya tumbo, ukosefu wa nguvu za kiume na vidonda vya operesheni.

UREMBO WA USO

Pata maelezo kamili kuhusu faida za asali kwa ngozi, na jinsi ya kutengeneza maski za asali ya RAWZA kwa kutumia maziwa, manjano, na mafuta ya nazi.

Bofya Kitufe Kuwasiliana Nasi

Scroll to Top