Jinsi ya kutibu athari za punyeto kwa wanaume
Uvunaji wa Asali
Shadow

Bofya Kitufe Kuwasiliana Nasi

Asali kwa Wanaume

Asali kwa wanaume imekuwa ikitumika tangu kale kuhakikisha wanaume wanalimudu ipasavyo tendo la ndoa, pia huweza kutumika kama dawa ya kutibu tatizo la uume kuwa legelege na kutibu athari za punyeto ‘masturbation’. Matumizi ya asali ya nyuki wadogo, tangawizi na mdalasini yamekuwa na faida kwa wanaume wengi hasa kwenye kuboresha nguvu za kiume. Asali mbichi ya nyuki wakubwa si nzuri sana ukilinganisha na asali ya nyuki wadogo, kwa sababu ina kiwango kingi cha sukari (glucose na fructose), wakati ya asali ya nyuki wadogo ina kiwango kidogo sana cha sukari na ladha yake ni ya uchachu. Ili kufanikiwa suala lako hakikisha unapata asali origino, asali isiyo origino inaweza kukusababishia madhara makubwa mwilini.

Maandalizi ya kufanya mapenzi ni sanaa inayohitaji utulivu wa kisaikolojia, mwili wenye afya na mazoezi. Miongoni mwa vyakula vilivyotajwa sana kuboresha tendo la ndoa kwa wanaume ni asali ya nyuki wadogo, tangawizi na mdalasini. Kwa nini utumie madawa yasiyoeleweka wakati kuna vyakula bora vya asili vinavyoweza kukusaidia ?

Namna ya kuitumia asali hutofautiana kutoka mtu mmoja hadi mwingine kutokana na sababu mbalimbali kama vile ukubwa au udogo wa tatizo linalomkabiri mtumiaji, chanzo cha tatizo lake pia malengo ya matumizi huweza kutofautiana, kwa mfano matumizi yake kwa wanaume walioathiriwa na punyeto ‘masturbation’ ni tofauti na wale ambao nguvu zao zimepungua kwa sababu nyinginezo. Kwa ushauri wa BURE wasiliana nasi kwa namba 0787001819 (Pia ipo WhatsApp)

FAIDA ZA ASALI

Tangawizi na Mdalasini

Mzunguko Mzuri wa Damu

Ili uume usimame vizuri na kwa muda mrefu ni lazima damu iwe inaingia na kutoka vizuri katika mishipa ya uume. Mchanganyiko wa asali ya nyuki wadogo ya Rawza, tangawizi na mdalasini hufanya jambo hili kuwa jepesi.

Kuongeza Testosterone

Asali ya nyuki wadogo ikichanganywa na tangawizi na mdarasini husaidia kuongeza kiwango ya homoni ya testosterone, homoni hii ni muhimu katika uzalishaji wa manii zenye ubora, hii husaidia kuongeza uwezo wake wa kumpa mwanamke ujauzito.

Kuongeza Nishati

Wakati wa tendo la ndoa mwili wa mwanaume huhitaji nguvu ili kufanya mapenzi kwa ufanisi zaidi. Asali ya Rawza ina Glucose na Fructose ambazo huupa mwili nguvu ya asili isiyo na madhara. 

Kuongeza Hamu ya Tendo

Asali ikichanganywa na tangawizi pamoja na mdalasini husaidia kuongeza hamu na kusisimsha mwili wakati wa tendo.

NB: Hakikisha unatumia asali origino.

HUBORESHA NGUVU ZA KIUME

ASALI YA BABA

Asali ya BABA ni tiba ya kuondoa tatizo (siyo booster), maalum kabisa kwa wanaume wenye tatizo la upungufu wa nguvu za kiume na wale ambao hawana tatizo ila wanahitaji kuboresha ufanisi wao katika tendo la ndoa. Imarisha nguvu zako za kiume leo kwa kutumia asali asilia. Lishe yako, nguvu yako.

Hutibu Uume Uliolegea

Uume kuwa legelege na kuchomoka hovyo wakati wa tendo la ndoa, huweza kutibiwa kwa ASALI YA BABA kwa kusaidia mzunguko mzuri wa damu kwenye uume.

Huongeza Uume

Sababu kuu ya uume kuongezeka ni kuimarika misuli ya uume, uume uliosinyaa na kuwa kama wa mtoto mdogo huweza kurejea katika hali yake ya awali.

Hutibu Kuwahi Kufika Kileleni

Kama unatumia muda mchache kitandani (chini ya dakika 7), basi ASALI YA BABA itakufaa kukabiliana na tatizo hilo linalotia huzuni pindi uwapo na mkeo.

Hutibu Madhara ya Punyeto

Husaidia kukunjua mishipa na misuli ya uume iliyojisinyaa na kufanya kuume kuwa kama wa mtoto mdogo.

Huongeza Hamu ya Mapenzi

Homoni ya Testosterone ndiyo inayojishughulisha na kuongeza hamu ya kufanya mapenzi, matumizi ya ASALI YA BABA husababisha kuongezeka kwa homoni hiyo muhimu kwa wanaume.

MATUMIZI YA ASALI YA BABA

Lamba kijiko kikubwa kimoja (10 ml) mara mbili kwa siku. Kwa muda wa siku 21, mabadiliko unaweza kuanza kuyaona baada ya siku 7. Dozi kamili ni ASALI YA BABA lita moja

DOZI KAMILI = TSH 75,000
NUSU = 38,000

Kwanini Utumie ASALI YA BABA?

HAINA KEMIKALI

Imeandaliwa kwa mimea ya asili ikiwamo asali ya nyuki wadogo, karoti pori nyeupe, tangawizi, mdalasini na pilipili manga. Haijaongezwa kemikali yoyote

NI TIBA YA KUDUMU

Hii siyo booster, ni tiba ya kumaliza kabisa tatizo, mabadiliko unaweza kuyaona ndani ya wiki ya kwanza hadi ya pili , na hutibu kwa dozi moja tu. 

HUPATIKANA KWA WEPESI

Tuna mawakala katika mikoa ifuatayo Dar es Salaam, Arusha, Mwanza, Mbeya, Dodoma, Zanzibar, Kagera n.k Pia tunatuma hadi nje ya nchi.

JIIMALISHE LEO

JINSI YA KUONGEZA NGUVU ZA KIUME HARAKA

Jinsi ya kuongeza nguvu za kiume kwa haraka huweza kutofautiana kutoka mwanaume mmoja hadi mwingingi. Ili kuweza kujua njia nzuri itakayoweza kuimarisha nguvu zako za kiume, ni vyema kubaini sababu iliyopelekea upungufu huo. Zifuatazo ni sababu zinazoweza kupelekea upungufu wa nguvu za kiume; kuwa na magonjwa kama vile kisukari, presha, moyo, tezi dume, ngiri n.k, kulevi wa pombe na madawa ya kulevya, ufanyaji wa punyeto, kuwa na stress, kuongezeka uzito, homoni imbalance, kutokufanya mazoezi n.k

Kufahamu njia bora ya kuimarisha nguvu zako za kiume waweza wasiliana nasi BURE kwa namba 0787001819 (Pia ipo WhatsApp), ili utueleze sababu na tukushauri njia bora za kutumia kutatua changamoto hiyo, kwa kuzingatia umri wako na hali hako ya kiafya kwa sasa. Zifuatazo ni njia za kuongeza nguvu za kiume kwa haraka.

Mazoezi ya Kegel

Mazoezi ya Kegel ni mazoezi yanayolenga kuimarisha misuli ya nyonga (pervic). Misuli ya pelvic inashiriki katika udhibiti wa mtiririko wa damu kwenye eneo la nyonga, ikiwa ni pamoja na damu inayohusika na kudindisha uume. Kwa kufanya mazoezi ya kegel na kujenga misuli ya nyonga, wanaume wanaweza kudumisha udhibiti bora wa mtiririko wa damu kwenda kwenye uume, ambayo inaweza kusaidia katika uume kudinda vizuri.

Zingatia Lishe Bora

Kula chakula kama vile mbegu za maboga, walnuts, asali, samaki, mbegu za chia, tangawizi na mdalasini n.k kunaweza kuchangia kwa njia kadhaa katika kuboresha nguvu za kiume. Lishe yenye afya husaidia kuboresha nguvu za kiume kwa kusaidia uzalishaji wa testosterone, kudumisha afya ya mfumo wa mzunguko wa damu na moyo, kusaidia katika uzalishaji wa manii yenye afya.

Kupunguza Stress

Msongo wa mawazo unaweza kusababisha kuongezeka kwa viwango vya homoni ya cortisol mwilini. Viwango vya juu vya cortisol vinaweza kuharibu mfumo wa endocrine, pamoja na kusababisha shida za ngono kama vile kupungua kwa hamu ya ngono na kushuka kwa nguvu za kiume. Kupunguza msongo wa mawazo kunaweza kusaidia kupunguza viwango vya cortisol na kurejesha usawa wa homoni.

Kuacha Pombe

Pombe na madawa ya kulevya yanaweza kusababisha kusinyaa kwa mishipa ya damu, ambayo inaweza kupunguza mzunguko wa damu kwenye viungo vya ngono. Mzunguko duni wa damu unaweza kusababisha erectile dysfunction. Pia pombe inaweza kuingiliana na mfumo wa endocrine na kusababisha kudhibitiwa kwa viwango vya testosterone. Hii inaweza kusababisha kupungua kwa libido, na uume kuwa legevu.

Pima Afya yako

Kupima afya yako kunaweza kusaidia kutambua matatizo ya afya ambayo yanaweza kuathiri nguvu za kiume, kama vile kuwa na viwango vya chini vya testosterone, ugonjwa wa moyo, kisukari, shinikizo la damu (presha), ngiri (hernia), matatizo katika tezi dume (prostate glands) au matatizo mengine ya kiafya ambayo yanaweza kusababisha dysfunction ya erectile au shida nyingine za ngono. Baada ya kutambua hali yako kiafya utakuwa na uwanja mzuri wa kutafuta tiba ya maradhi yanayokukabili.

Ushauri wa Kitaalamu

Kuomba ushauri wa kitaalamu kunaweza kuwa hatua muhimu katika kuboresha nguvu za kiume. Daktari au wataalamu wengine wa afya wanaweza kutoa mwongozo, matibabu, na msaada unaohitajika ili kushughulikia masuala ya nguvu za kiume na kuboresha afya nzima ya mwili. Jitahidi kuwa muwazi kwa mtaalamu au wataalamu wanaoshughulikia tatizo lako, kuwa msiri kwa mtu anayetaka kukusaidia huweza kupelekea lengo la matibabu kutokufanikiwa.

Kudhibiti Uzito

Mafuta mengi mwilini yanaweza kuziba mishipa ya damu, kupunguza mtiririko wa damu kwenye sehemu za siri, jambo ambalo linaathiri nguvu za kiume. Ili uume usimame vizuri, moyo husukuma damu nyingi kuelekea kwenye uume, kisha damu hiyo huzuiliwa na mwili isitoke katika uume. Kwa damu nyingi kuingia katika uume hufanya uume kurefuka sana wakati hisia za kushiriki tendo la ndoa zinapoongezeka. Mafuta mengi mwilini hupelekea damu kutopita vizuri kuelekea kwenye uume.

Kulala vya Kutosha

Kulala vya kutosha ni muhimu kwa afya ya mwanaume kwa sababu inaathiri viwango vya homoni, kama vile testosterone, ambayo inachangia sana katika nguvu za kiume. Wakati unapopata usingizi wa kutosha, mwili wako una nafasi ya kupona na kurekebisha tishu zilizoharibiwa wakati wa shughuli za mchana. Hii ni muhimu sana kwa mfumo wa neva na homoni ambazo zinadhibiti hamu ya ngono na utendaji wa mwili.

Tumia Dawa

Zipo dawa nyingi zinazoweza kusaidia kuongeza nguvu za kiume kwa haraka, jambo la muhimu ni kujieleza vizuri kama una changamoto nyingine yoyote inakusumbua kama vile ugonjwa wa kisukari, presha, tezi dume n.k
Zipo dawa za hospitali na dawa za asili ambazo zimeonesha matokeo mazuri. Miongoni mwa dawa hizo ni ASALI YA BABA ambayo ni dawa iliyo katika mfumo wa tiba lishe, huhusaidia mwili wa mwanaume kurejesha uwezo wake wa asali wa kubudu tendo la jimai.

ASALI YA RAWZA

MADA MOTOMOTO

Namna ya kutibu athari za punyeto.

ATHARI ZA PUNYETO

Athari za kufanya punyeto ni nyingi kama vile uume kuwa legelege, kupiga bao mapema, uume kusinyaa na kuwa kama wa mtoto mdogo. Kuna uwezekano mkubwa wa kuondoa athari hizi kwa kutumia njia za asili zifuatazo.

Vyakula muhimu kuongeza nguvu za kiume kwa haraka

VYAKULA VYA WANAUME

Vyakula vya kuongeza nguvu za kiume kwa haraka hujumuisha vyakula vyenye virutubisho vifuatavyo kwa wingi, madini ya Zinki (zinc), Vitamini D, Omega 3 fatty acids, Vitamini C, vitamini E,  Selenium, L-Arginine, Folate (Asidi ya Folic), Vitamin B-Complex, Citrulline n.k

Namna ya kutibu tatizo la kuwahi kufika kileleni.

KUWAHI KUFIKA KILELENI

Jinsi ya kutibu tatizo la kuwahi kufika kileleni wakati wa kufanya mapenzi huweza kutofautiana kutoka mtu mmoja hadi mwingine. Kama unatumia dakika chini ya tatu (3) kwa bao la kwanza, na unashindwa kurudia tendo la ndoa fuata maelekezo haya. 

Scroll to Top