slide 1
Image Slide 2
Shadow

Asali kwa Mjamzito

Karibu kwenye ukurasa wetu wa tovuti ya Rawza Honey, unaolenga kutoa elimu kuhusu matumizi ya asali kwa mjamzito. Ujauzito ni wakati wa kipekee katika maisha ya mwanamke, tukiwa kama wazazi tunaelewa umuhimu wa kuchukua tahadhari na kuzingatia lishe bora wakati wote wa ujauzito. Matumizi ya asali huweza kutofautiana kutoka mjamzito mmoja hadi mwingine, wasiliana nasi BURE kwa simu 0787001819 (Pia ipo WhatsApp) ili tukupe ushauri wa namna ya kuitumia kulingana na hali yako. 

Asali ya nyuki wadogo ikitumiwa kwa usahihi, inaweza kuwa chaguo nzuri kwa wanawake wajawazito kutokana na faida zake nyingi katika lishe. Katika ukurasa huu, tutakufahanisha faida za asali ya nyuki wadogo kwa mama mjamzito na jinsi ya kuitumia kwa usalama na ufanisi. Jambo lingine muhimu kuzingatia kwa mama mjamzito ni kuhakikisha anakula vyakula bora kama vile nyama, samaki, maziwa, mbogamboga, maharage, nafaka, matunda n.k kwani ni vyakula muhimu sana kwa afya ya mama na mtoto.

Faida za Asali

Mama Mjamzito

Zifuatazo ni faida za kutumia asali ya Rawza ya nyuki wadogo kwa mama mjamzito.

Kinga ya Mwili

Asali ya Rawza ya nyuki wadogo ina virutubisho vingi muhimu, vyenye uwezo wa kuuwezesha mwili kukabiliana na magonjwa nyemelezi.

Kupata Usingizi

Tumia asali nyuki wadogo ya Rawza na maziwa au maji ya uvuguguvu. Hii husaidia kupata usingizi, tumia walau nusu saa kabla ya muda wa kulala.

Kuongeza Damu

Tumia vijiko viwili vidogo vya asali ya Rawza ya nyuki wadogo na maziwa, mara mbili kwa siku. Hii husaidia kuongeza damu mwilini.

Kupata Choo Kikubwa

Asali ya nyuki wadogo husaidia kupunguza tatizo la kukosa choo kwa muda mrefu, tumia vijiko vidogo viwili vya asali na glasi ya maji ya uvuguvugu mara mbili kwa siku.

Faida za asali ni nyingi, hizi ni baadhi tu. Kufahamu namna bora ya kuitumia kwa matokeo ya haraka, wasiliana nasi BURE kwa simu au WhatsApp kupitia namba

📞  0787001819

ASALI YA RAWZA

FAHAMU MATUMIZI YAKE

Faida za asali kwa mtoto wako

ASALI KWA WATOTO

Mtoto mwenye umri kuanzia mwaka mmoja anaruhusiwa kuanza kutumia asali, asali huweza kumsaidia kuimarisha kinga yake ya mwili ili isishambuliwe hovyo na magonjwa. 

ASALI KWENYE UREMBO

Asali huweza kutumika kwenye urembo wa ngozi kavu na ngozi ya mafuta kwa kuchanganywa na kahawa, manjano, maziwa, mafuta ya nazi n.k na kuifanya ngozi kuwa na mwonekano mzuri zaidi.

Namna ya kutibu tatizo la kuwahi kufika kileleni.

ASALI KWENYE MAPENZI

Asali huweza kutumika kwenye maandalizi ya tendo la ndoa, tendo la ndoa huitaji ubunifu wa hali ya juu ili lifanyike kwa ufanisi. Matumizi mazuri ya asali huzidisha raha kwenye mapenzi,

Bofya Kitufe Kuwasiliana Nasi

Scroll to Top