slide 1
slide 1
slide 1
slide 1
slide 1
Image Slide 2
Utafutaji Mbochi
Utengenezaji Masega
Utengenezaji Masega
Uvunaji wa Asali
Uvunaji wa Asali
Uvunaji wa Asali
Masega yenye Asali
Uvunaji wa Asali
previous arrowprevious arrow
next arrownext arrow
Shadow

🍯

ASALI MBICHI

Asali Mbichi ya Rawza ni asali inayotokana na nyuki wakubwa na nyuki wadogo, walioweka makazi katika misitu iliyosheheni miti ya asili mkoani Tabora. Asali ya Rawza ambayo pia hujulikana kama Rawza Honey imehifadhiwa katika kifungashio vizuri, ili kulinda ubora wake. Kununua asali ya Rawza ya nyuki wakubwa au wadogo waweza wasiliana nasi kwa simu au WhatsApp 0787001819.

Katika tovuti hii utapata maelezo mazuri kuhusu asali kama vile namna mbalimbali za kuitumia katika mapenzi, kutibu vidonda vya tumbo, uzazi, urembo wa uso n.k, kubwa zaidi, utaweza kununua asali bora kabisa kwa bei nafuu. 

FAIDA ZA KUTUMIA

Asali Mbichi

Zifuatazo ni faida za kutumia asali ya Rawza kama nyenzo ya kutibu maradhi mbalimbali. Anza leo kuitumia kwa matokeo mazuri na ya haraka.

Nguvu za Kiume

Asali ya Rawza ina virutubisho vingi ikiwapo glucose na fructose, ikichanganywa na viungo vingine ikiwamo tangawizi husaidia wenye tatizo la upungufu wa nguvu za kiume.

Vidonda vya Tumbo

Asali ya Rawza inaweza kuimarisha kuta za tumbo na kusaidia kuzuia uharibifu zaidi. Inasaidia kuongeza uzalishaji wa seli za kuta za tumbo na kukuza muundo mzuri wa tishu.

Kutibu Fangasi

Asali ya Rawza ina properties za antibakteria na antifangasi, ambazo zinaweza kusaidia kutibu fangasi ikiwamo wa sehemu za siri.

Kutibu Kikohozi

Tumia Asali ya Rawza kutibu kikohozi kikavu au cha laini. Asali ya Rawza ina uwezo mkubwa wa kuuwa bacteria hatari.

Mmeng'enyo wa Chakula

Husaidia usagaji mzuri wa chakula tumboni, na kupunguza tatizo la kupata choo kwa shida au kushindwa kupata choo kwa muda mrefu.

Namna ya kuitumia asali mbichi hutofautiana kutoka mtu mmoja hadi mwingine kwa kuzingatia umri, aina ya tatizo alilonalo, lengo la matumizi n.k 

Kwa ushauri wa BURE kuhusu matumizi sahihi ya asali mbichi wasiliana nasi kwa simu au WhatsApp

📞  0787001819

FAHAMU LEO

JINSI YA KUITAMBUA ASALI MBICHI

Kuitambua asali mbichi kwa matumizi ya kawaida ya nyumbani unaweza kutumia njia zilizopendekezwa na Wataalamu kutoka Wizara ya Mali Asili, ambao wameelekeza njia nyepesi zinazoweza kutumika kupima kama asali ni mbichi au siyo. Njia ambazo zinaweza kutumika ni kiberiti, mchanga mkavu, karatasi nyeupe, kuimimina, kuinusa, kuiramba, kuishika kwa mkono. Hapa tutakufafanulia njia hizo za kuijua asali kama ni mbichi au imechakachuliwa. 

Asali ya Rawza

JINSI INAVYOTIRIRIKA

Asali origino hutirika kwa maringo kama utavyoiona hapo juu kwenye picha, huwa inatirika hadi inatengeneza kama uzi mwembamba yaani haijikati kama vile yafanyavyo maji.

MCHANGA MKAVU

Dondoshea matone ya asali kisha kwenye mchanga mkavu, kisha itazame kwa dakika kadhaa. kama haijazama hiyo asali ni mbichi. Kwa kawaida asali mbichi haizami kwenye mchanga mkavu.

KARATASI

Chukua karatasi nyeupe kisha dondoshea matone mawili matatu ya asali, kisha igeuze karatasi hiyo juu chini kisha itazame ule upande wa pili ambao haukudondoshea asali. Kama upande wa pili haujalowana hiyo asali ni mbichi.

RANGI YA ASALI

Asali huwa na rangi ya asili, rangi ya asali hutofautiana kutokana na aina ya maua ambayo nyuki amechukua mbochi kwa ajili ya kutengenezea asali. Kwa mfano inayovunwa kutoka katika shamba la aliveti aghalabu huwa ya njano.

REFRACTOMETER

Hiki ni kipimo cha kisayansi kinachopima kiwango cha maji kilichomo kwenye asali, kiwango cha maji katika asali kinapaswa kuwa kati ya asilimia 17 hadi 21. Ambayo ni maji ya asili aliyoweka nyuki wakati wa utengenezaji wa asali.

TISSUE & KIBERITI

Chukua tissue paper kisha ipakaze asali na uhakikishe imelowana, baada ya hapo ikunje kisha chukua njiti ya kiberiti na iwashe sehemu yenye asali. Kama tissue paper yako itawaka basi ujue asali yako ni orijino na ni nzur kwa matumizi yako.

BEI ZA ASALI MBICHI

Bidhaa Bora Kabisa

RAWZA HONEY

Asali bora kwa matumizi yako

NGUVU ZA KIUME

Asali ikichanganywa na karoti pori nyeupe, tangawizi na mdalasini husaidia kuimarisha misuli  ya uume na kuufanya usimame vizuri na kwa muda mrefu wakati wa tendo la ndoa

asali na tangawizi kwa afya yako

ASALI NA TANGAWIZI

Huboresha nguvu za kiume, husaidia mzunguko mzuri wa damu mwilini, hutibu kikohozi, kupambana na athari za kansa, husaidia mmeng’enyo wa chakula n.k

UREMBO WA USO

Asali husaidia ngozi kuwa nyororo na yenye kuvutia hasa pale inapochanganywa na kahawa, manjano, maziwa, mayai. Kipi unachanganyia inategemea na aina ya ngozi yako.

Bofya Kitufe Kuwasiliana Nasi

Scroll to Top